Hii timu inaendeshwa kwa propaganda sana.
Wametudanganya kuwa tikeki zote zimenunuliwa lakini cha ajabu ni kuwa uwanja umeshindwa kujaa kabisaa.
Pamoja na kuyaacha mageti wazi tokea saa 5 asubuhi ili angalau kuwezesha wanasimba waingie bure ili waujaze benjamini mkapa ila hali imekuwa ngumu.

Hawa ndugu zetu hamna kitu kabisaa[emoji706]
 
Historia tayari... kwa yule mchezaji wa kwanza kucheza mpira
 
Tumeanza kwa ku defence...
Hii itawapa Al Ahly kuzoea atmosphere ya mkapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…