FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League
Hii timu inaendeshwa kwa propaganda sana.
Wametudanganya kuwa tikeki zote zimenunuliwa lakini cha ajabu ni kuwa uwanja umeshindwa kujaa kabisaa.
Pamoja na kuyaacha mageti wazi tokea saa 5 asubuhi ili angalau kuwezesha wanasimba waingie bure ili waujaze benjamini mkapa ila hali imekuwa ngumu.

Hawa ndugu zetu hamna kitu kabisaa[emoji706]
 
Tumeanza kwa ku defence...
Hii itawapa Al Ahly kuzoea atmosphere ya mkapa
 
Back
Top Bottom