Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Unateseka ukiwa wapi kijana?Hamna kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unateseka ukiwa wapi kijana?Hamna kitu
Sure hii nafasi angepata mtoto wa madale ingekuwa moto [emoji91]Alikiba sio good performer siku zote Ndio Maana mnakosa kuitwa kwenye majukwaa makubwa sio kama mwenzake mondi
Kauoga lazima, hii mechi ni kubwa.Mbona simba kama wana kauoga hivi
Haikujaa vizuri tu.Kibuuuuu aaah ilikuwa nyepesi
Heshima inaletwa kwa medali na vikombe sio ushiriki 🤣🤣🤣Vyovyote itakavyokuwa ila hadi sasa SIMBA imeliheshimisha Taifa....
Kama kuna mtu kashika vileVAR sio Imetuminyia tuu Pale?
Kuna watu walienda hadi kumpigia magoti Mwana FA akawaombee nafasi ya ushiriki 🤣🤣🤣Heshima inaletwa kwa medali na vikombe sio ushiriki 🤣🤣🤣