Kwa michuano hii nasema na nitasema tena Simba lazima afungwe leo kwa Mkapa na All ahly

Nakazia hivyo kwa sababu wachezaji wa Simba hawana self confidence wanapocheza na timu kubwa kama Al Ahly, yaani Simba inategemea mchezaji moja moja tu kama mungu mtu kwenye kikosi chao

Nisiseme mengi sana maana matokeo tutayaona tu

Nipigwe bani iwapo Simba atashinda leo
 
Ni kichaa tu ndiye anayeweza kuamini Simba hii mbovu inaweza kumfunga Al Ahaly na kumtoa.
 
Muwe na akiba ya maneno
 
Ikawa mchana, Ikawa Usiku na hatimaye yametimia.

Leo 20.10.2023

Muda ni Saa 12Jioni kwa saa za Afrika Mashariki pale Benjamin Mkapa Stadium

Kitawaka sana.

Simba vs Al Ahly.

All the Best Mnyama.



#nguvumoja#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…