Mnashangilia kuiba wachezaji Airport
 
Al ahly hawajatuzidi kwakwel kwwnye mpira kwa leo sema hatuna Striker tu Phiri tunamtaka
 
Che Malone anajikuta anacheza nafasi ya Tshabala.
amekuwa heavy sana kurudi
 
Boko akuokoe kweli??
 
Hawajapwaya hiyo ni mbinu wanayoitumia muone kuwa hawana hatari mfunguke na beki zipande na matokeo yake ndio hayo.
 
Timu yangu Simba, hakuna haja ya kufunguka.
Tutapigwa nyingi.

Hakuna haja ya kufunguka kwa hii timu.

Nyuma wabaki watu watano.

Wakibaki 3 hatutoboi.

Tutachezea goli nyingi hapa.

Ndugu zangu msifunguke
Wao wafunguke ila wahakikishe kila wanapopanda huku nyuma wanabaki wawili, ukiangalia goli tulilofungwa ni matatizo ya 4 na 5 kitaka kupanda hadi nusu uwanja, kitu ambacho hata Ahly hafanyi.

Kujiamini kulikopitiliza.


Hii game Simba Sc kacheza vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…