FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League
Yaani tuseme tu ukweli tunachez naTimu ya Daraja la juu kuliko sisi! Hakuna wa kumlaumu Hawa Ndio wachezaji wetu! Simba ilipofikia inahitaji isonge mbele ,yaani Uwekezaji mkubwa zaidi unahitajika! Ashukuriwe MO ,lakini ni lazima kuinvest zaidi! Lakini mechi hii tunashida! Pale bench nawaona watu wawili tu wanaweza kufurukuta humu ndani ...Boko,na Onana au Phiri!
Simba nguvu moja![emoji1241]
Mnashangilia kuiba wachezaji Airport
 
Hatujafanya makosa kihivyo kama inavyoweza kusemwa na watu wasiopenda Simba.

Ila Al Ahly kuna kiasi ambacho wametuzidi, hii performance tukicheza na timu yeyote tofauti na Al Ahly tungeweza kuondoka na bao kipindi cha kwanza.

Al Ahly kwa leo nimewaona wana backline ngumu ila kwenye forward line ni kama wamepwaya kiasi.

Yani wamefika sana golini kwetu tena wakiwa comfortable kuliko sisi. Sasa hizo nafasi za kufika golini kwa mpinzani tungekuwa tunazipata sisi tungepata mabao
Al ahly hawajatuzidi kwakwel kwwnye mpira kwa leo sema hatuna Striker tu Phiri tunamtaka
 
Mabeki ni wazuri isipokuwa Zimbwe tu, kinachotokea ni matatizo ya kimfumo wala sio kiwango cha mchezaji mmojammoja kwenye backline.

Shida ni beki kutaka kupanda mpaka nusu ya uwanja kipindi team inapokuwa ikishambulia huku wakijua wanacheza dhidi ya wingers ambao wana speed wasizoweza kuzimudu kwa 100%.

Tatizo la Simba Sc hiki kipindi cha kwanza hasa dakika za mwisho ni OVER CONFINDENCE.

So far, wamecheza vizuri.
Che Malone anajikuta anacheza nafasi ya Tshabala.
amekuwa heavy sana kurudi
 
Yaani tuseme tu ukweli tunachez naTimu ya Daraja la juu kuliko sisi! Hakuna wa kumlaumu Hawa Ndio wachezaji wetu! Simba ilipofikia inahitaji isonge mbele ,yaani Uwekezaji mkubwa zaidi unahitajika! Ashukuriwe MO ,lakini ni lazima kuinvest zaidi! Lakini mechi hii tunashida! Pale bench nawaona watu wawili tu wanaweza kufurukuta humu ndani ...Boko,na Onana au Phiri!
Simba nguvu moja![emoji1241]
Boko akuokoe kweli??
 
Hatujafanya makosa kihivyo kama inavyoweza kusemwa na watu wasiopenda Simba.

Ila Al Ahly kuna kiasi ambacho wametuzidi, hii performance tukicheza na timu yeyote tofauti na Al Ahly tungeweza kuondoka na bao kipindi cha kwanza.

Al Ahly kwa leo nimewaona wana backline ngumu ila kwenye forward line ni kama wamepwaya kiasi.

Yani wamefika sana golini kwetu tena wakiwa comfortable kuliko sisi. Sasa hizo nafasi za kufika golini kwa mpinzani tungekuwa tunazipata sisi tungepata mabao
Hawajapwaya hiyo ni mbinu wanayoitumia muone kuwa hawana hatari mfunguke na beki zipande na matokeo yake ndio hayo.
 
255764051968_status_dcda6a9a977f4f5e83c701eb5393cb73.jpg
 
Timu yangu Simba, hakuna haja ya kufunguka.
Tutapigwa nyingi.

Hakuna haja ya kufunguka kwa hii timu.

Nyuma wabaki watu watano.

Wakibaki 3 hatutoboi.

Tutachezea goli nyingi hapa.

Ndugu zangu msifunguke
Wao wafunguke ila wahakikishe kila wanapopanda huku nyuma wanabaki wawili, ukiangalia goli tulilofungwa ni matatizo ya 4 na 5 kitaka kupanda hadi nusu uwanja, kitu ambacho hata Ahly hafanyi.

Kujiamini kulikopitiliza.

Hii game Simba Sc kacheza vizuri.
 
Back
Top Bottom