Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Hili ndo kosa Robertinho amelifanya kucheza bila strikerKonde Boy atoke aingie striker.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ndo kosa Robertinho amelifanya kucheza bila strikerKonde Boy atoke aingie striker.
Kipindi cha pili wa kupanda anatakiwa kuwa Kapombe na Zimbwe Jr tu wakati team inapofanya mashambulizi, hawa wa kati wabaki kulinda counter.Che Maloni anapata mzigo sana.
Tsbalala akipanda anabaki hii mbaya sana
Sub nzuriBaleke in..
Luis out...
Ni kweli lakini kwenye Football lolote linawezekana muda wowoteTusikate tamaa, lakini hapa ni ngumu kidogo
Yeah screen shot tu kama umeona utagundua al ahly format yao wamechange zaid ya mara 4 kwahyo inadhihirisha Tuliwabana kwa kiasi chakeNAISCREENSHOT HII REPLY
Tatizo mabeki walijisahau hii n mtoanoKipindi cha pili wa kupanda anatakiwa kuwa Kapombe na Zimbwe Jr tu wakati team inapofanya mashambulizi, hawa wa kati wabaki kulinda counter.
Sio kupunguza magoli, kupata hela sh. 5.8BSimba anacheza tu kupunguza idadi ya magoli, haya mashindano yanamzidi kimo.
Kwelii hili nimeliona KwakwelNazani leo mmeona objectives football, Al Ahly pamoja hawa kutawala mpira ila wametengeneza nafasi tatu za hatari wakatumia moja,ila kama wangekuwa makini tayari ingekuwa mshakula tatu.
Sasa kipindi cha pili mkifunguka na kupanic shughuli wanaimaliza hapa hapa,Misri mtaenda kutalii.
Hii sub hta mm sijaielewa kwa kweli.Kiungo punda nje🤔
Robertinho ana mentality sana ya kukaba na ndio maana kwake mpira mzuri sio style yake.Hili ndo kosa Robertinho amelifanya kucheza bila striker