Naona kaingia kiungo ndamaKiungo punda nje🤔
Iko Sawa hakukua na strikerKumtoa miqson sidhanibkama imekaa sawa sana
Naunga mkono hojaAingie huyuView attachment 2787481
Uliona wapi? Maneno yalikuwa mengi humu. Leo wamepotea kimya 🤣🤣🤣🤣Yani tuje hadi na madjaba alafu tufungwe 😂
Endeleeni kubana pyuuumb.u magoli yasiongezeke🤣🤣🤣🤣Hii gemu tunashinda
Tulizeni presha...
Let's us waitNimesema baada ya dk 90 utakuja na ushuhuda mwingine,au lugha ni ngumu [emoji4]
Hakuna beki aliyejisahau, uwezo hawanaTatizo mabeki walijisahau hii n mtoano
Hilo linashangaza sana.Unategemea kumfunga Al ahly ukiwa na babu Saido ukimuacha phiri nje.