Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
SawaKibonde
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaKibonde
Mapema watapigwa ndogo 3-1Hawa Alhly hawana maajabu yoyote Young Africans tutawachapa, wanachapika vizuri tu
AhaaaaaPercy Tau anaomba sub
Yanga huna uwezo wa kufunga hata Goli moja Kwa al ahaly.....Kibonde
NAiscreenshot hii replyMapema watapigwa ndogo 3-1
Hawa Alhly hawana maajabu yoyote Young Africans tutawachapa, wanachapika vizuri tu
Kazi ikiwa inafanywa na mwenzako huonekana rahisi sana.Hawa Alhly hawana maajabu yoyote Young Africans tutawachapa, wanachapika vizuri tu
Naiscreenshot hii replyYanga huna uwezo wa kufunga hata Goli moja Kwa al ahaly.....
Hi timu yanga itamfunga Hapa hapa dsm na Kisha kutoa nae sare misri ,,," mark my wordsThis is Simba bwanaaaaa...
Yani Utopolo mtafungwa mnooooooo
Kama papai, nje kijani ndani njano - ManaraYanga kama CCM tu
Kipigo cha kwenda yani kashamaliza magazine ya risasi anatafta kisu sasa hapo mguu shingo mguu kiunoKocha wa Al ahly kashachanganyikiwa anafnya sub kikosi kizima sasa 🤣🤣🤣
Yanga mkiwafunga hawa waarabu msiseme kuwa mnaifutia Simba aibu au kuilipia kisasi.Hawa Alhly hawana maajabu yoyote Young Africans tutawachapa, wanachapika vizuri tu
dakika ya ngappiYanga mtayaogaaa....
This is Simbaaaa
Unaona hawana maajabu sababu wanashikwa pabaya.Hawa Alhly hawana maajabu yoyote Young Africans tutawachapa, wanachapika vizuri tu
🤣🤣🤣🤣🤣 Kaimalisha ukuta kama Jericho au analinda vita bhnaKipigo cha kwenda yani kashamaliza magazine ya risasi anatafta kisu sasa hapo mguu shingo mguu kiuno