sinyaghile
JF-Expert Member
- Mar 9, 2023
- 270
- 381
Wewe si moderator? Nilitegemea utakuwa neutral humu πYanga huna uwezo wa kufunga hata Goli moja Kwa al ahaly.....
Tulia wewe acha mbwembeeYanga mtayaogaaa....
This is Simbaaaa
Mtapigwa tano kudadeki, jichanganye [emoji23][emoji23]Hawa Alhly hawana maajabu yoyote Young Africans tutawachapa, wanachapika vizuri tu
dakika ya ngapYani leo matokeo yakibaki hivi nitajisikia rahaa sanaaaaaa
Yakiwa sivyo pia sina la kuwadai wababe wa hii nchi....mnyamaaa simbaaaa
Hamna kituYani leo matokeo yakibaki hivi nitajisikia rahaa sanaaaaaa
Yakiwa sivyo pia sina la kuwadai wababe wa hii nchi....mnyamaaa simbaaaa
Upo jiraniTulia wewe acha mbwembee
Acha wivu basiiHamna kitu
Ksahau idadi ni Ile ile 11ππKocha wa Al ahly kashachanganyikiwa anafnya sub kikosi kizima sasa π€£π€£π€£
π NipoUpo jirani