Wwale wasaga sumu....wachawi wazindiki maamuma mpooooo
 
Kocha mpumbavu. Unamtoa kibu unamuweka onana ambaye hana kasi wala maamuzi ya haraka! Unamtoa Chama unaingiza Bocco. Kocha mpuuzi kweli
 
Siogopi aisee hata tukifungwa now...mimi nachofurahi ni Simba kumfunga mlosema atamuogesha kwa magoli
Usikute huyu mwenzenu anajua Simba imeshinda. Huwa siziamini kabisa akili za Makolo!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kuna wapuuzi wanangilia😅😅😅😅😅
 
Usikute huyu mwenzenu anajua Simba imeshinda. Huwa siziamini kabisa akili za Makolo!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Utajua mwenyewe.....angalia kwanza akili yako....
Nani kashinda sasa? Huyo mwarabu wenu au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…