Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Yanga mkipata goli na hawa jamaa hata moja mnidai laki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna deni kivipi wakati nafasi ya kusonga mbele haipo.Sina deniiiiiii jamani sina deniiiiiiiii
Wewe ni mjinga... Wewe uliyepata unaenda wapi?Yanga mkipata goli na hawa jamaa hata moja mnidai lakiView attachment 2787515
Usikute huyu mwenzenu anajua Simba imeshinda. Huwa siziamini kabisa akili za Makolo!Siogopi aisee hata tukifungwa now...mimi nachofurahi ni Simba kumfunga mlosema atamuogesha kwa magoli
Duh!...yaani Ahly tutamng'oa kule kule uarabuni ?Tunaenda kuingia nusu fiainali mark my words....
Utajua mwenyewe.....angalia kwanza akili yako....Usikute huyu mwenzenu anajua Simba imeshinda. Huwa siziamini kabisa akili za Makolo!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Umeangalia mpira lakn?This is Simba brother. Kwa kweli Al Ahly alikuwa anakufa kwa Mkapa second half.
Mkifika uje nkupe 1MAchaneni na kocha...
Simba shikilieni hapo hapo huyo kocha mpk tufike fainali club Bingwa....