FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League
MAKOLO WANAKANDWAAAAAA


Goooooooooooooooooooooooooooooooooollll
Goooooooooooooooooooooooooooooooooollll
Goooooooooooooooooooooooooooooooooollll
Goooooooooooooooooooooooooooooooooollll
Goooooooooooooooooooooooooooooooooollll
Goooooooooooooooooooooooooooooooooollll
 
Yaani tuseme tu ukweli tunachez naTimu ya Daraja la juu kuliko sisi! Hakuna wa kumlaumu Hawa Ndio wachezaji wetu! Simba ilipofikia inahitaji isonge mbele ,yaani Uwekezaji mkubwa zaidi unahitajika! Ashukuriwe MO ,lakini ni lazima kuinvest zaidi! Lakini mechi hii tunashida! Pale bench nawaona watu wawili tu wanaweza kufurukuta humu ndani ...Boko,na Onana au Phiri!
Simba nguvu moja!🇹🇿
 
Timu yangu Simba, hakuna haja ya kufunguka.
Tutapigwa nyingi.

Hakuna haja ya kufunguka kwa hii timu.

Nyuma wabaki watu watano.

Wakibaki 3 hatutoboi.

Tutachezea goli nyingi hapa.

Ndugu zangu msifunguke
Kiuhalisia huwezi cheza na Al Ahly per to per. Huo ubora haupo. So unachosema nakiunga mkono.
 
PIGA CHINI ROBERTNO....

Angalia team inavyo defence, Hivi sio game ya fullbacks kupanda sana mbele...

Wanampa kazi ngumu Inonga & Chemalone....

Team haikimbiii...ni kama imechoka...

Makosa ambayo tumeona huu udhaifu tangu ligi ianze...
Mara baada ya mechi ya hisani, huyo ROBERTNO alionekana tu ni SHATI..

AL Ahly, inaishambulia kwa idadi kubwa na kujilinda kwa idadi kubwa...

Kocha mkubwa alipaswa kuona hilo tangu mapema..

Simba asipofungwa 3 cjui.

Hii sio SIMBA tunayoijua kwa .Mkapa....

ROBERTINO huyo ni macho tu, hakuna hata Taste
..

.
Mbona timu inacheza vizuri

Hapo anakosekana Tatu Malongo tu
 
Simba wanaachwa wacheze wakipigwa counter attack wanapoteana, mashambulizi karibia yote ni counter attack.
Tungoje second half nadhan al ahly ataongeza goli 2
 
Sio wamewaangusha hakuna beki hapo.
Zinacheza chini ya kiwango sana. Inonga kama anaumwa bora apumzishwe tu
Mabeki ni wazuri isipokuwa Zimbwe tu, kinachotokea ni matatizo ya kimfumo wala sio kiwango cha mchezaji mmojammoja kwenye backline.

Shida ni beki kutaka kupanda mpaka nusu ya uwanja kipindi team inapokuwa ikishambulia huku wakijua wanacheza dhidi ya wingers ambao wana speed wasizoweza kuzimudu kwa 100%.



Tatizo la Simba Sc hiki kipindi cha kwanza hasa dakika za mwisho ni OVER CONFINDENCE.


So far, wamecheza vizuri.
 
PIGA HAAOOOOOOOOOOOO
20231020_190436.jpg
 
Bado tuna dk 45 za kurekebisha makosa. Hatujacheza vby
Hatujafanya makosa kihivyo kama inavyoweza kusemwa na watu wasiopenda Simba.

Ila Al Ahly kuna kiasi ambacho wametuzidi, hii performance tukicheza na timu yeyote tofauti na Al Ahly tungeweza kuondoka na bao kipindi cha kwanza.

Al Ahly kwa leo nimewaona wana backline ngumu ila kwenye forward line ni kama wamepwaya kiasi.

Yani wamefika sana golini kwetu tena wakiwa comfortable kuliko sisi. Sasa hizo nafasi za kufika golini kwa mpinzani tungekuwa tunazipata sisi tungepata mabao
 
PIGA CHINI ROBERTNO....

Angalia team inavyo defence, Hivi sio game ya fullbacks kupanda sana mbele...

Wanampa kazi ngumu Inonga & Chemalone....

Team haikimbiii...ni kama imechoka...

Makosa ambayo tumeona huu udhaifu tangu ligi ianze...
Mara baada ya mechi ya hisani, huyo ROBERTNO alionekana tu ni SHATI..

AL Ahly, inaishambulia kwa idadi kubwa na kujilinda kwa idadi kubwa...

Kocha mkubwa alipaswa kuona hilo tangu mapema..

Simba asipofungwa 3 cjui.

Hii sio SIMBA tunayoijua kwa .Mkapa....

ROBERTINO huyo ni macho tu, hakuna hata Taste
..

.
Upo sahihi uwezi cheza na giant team alafu beki zinapanda kwa kiasi kile.
 
Timu yangu Simba, hakuna haja ya kufunguka.
Tutapigwa nyingi.

Hakuna haja ya kufunguka kwa hii timu.

Nyuma wabaki watu watano.

Wakibaki 3 hatutoboi.

Tutachezea goli nyingi hapa.

Ndugu zangu msifunguke
Simba anacheza tu kupunguza idadi ya magoli, haya mashindano yanamzidi kimo.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom