Satirical Yet Awesome
JF-Expert Member
- Oct 11, 2023
- 629
- 1,688
Acha uchawiVAR ina Rule Out hili Goli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uchawiVAR ina Rule Out hili Goli
Download hata movies kadhaa hapo uende kula maisha wikiendWameachia WiFi baada ya Kibu kutupiaView attachment 2787485
Kibu D.
Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri.
Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya kwanza.
Mechi itakuwa Mubashara Azam Sports 1HD kuanzia saa 12:00 Jioni kwa masaa ya Afrika Mashariki lakini mapema kutakuwa na sherehe za ufunguzi huku Ali Kiba akiongoza burudani.
Yanayojiri yote utayapata katika uzi huu…
Yapi maoni yako kuhusu mechi hii?
Baadhi ya Watu mashuhuri waliohudhuria tukio hili- Mpira umeanza huku timu zote zikisomana na kushambuliana kwa kushtukiza
View attachment 2787299
Rais wa FIFA, Infantino (kulia) ametua Tanzania
View attachment 2787302
Legendari Arsene Wenger na Moise Katumbi kwenye mkutano na Waandishi wa Habari
View attachment 2787419
Arserne Wenger akiwa katika Uwanja wa Benjamini Mkapa
View attachment 2787383
Hali ya Uwanja mpaka sasa
UFUNGUZI WA TUKIO UMEANZA RASMI
View attachment 2787403
Kikosi cha Simba kinachoanza
- Dakika ya 23 bado ni 0 - 0
- 45' Goooooal Ahly wanatangulia hapa
HT: Simba 0 - 1 Al Ahly
Kipindi Cha pili kimeanza
- Mzamiru out - Kanoute in
- Miquisone out - Baleke in
- Kibuuuu anasawazisha hapa
Kumbe..?VAR ina Rule Out hili Goli
Takwimu Kibu Vs MayeleKibu Denga mume wa Uto