FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League
c250f9f7-cb4e-434b-b86a-0b7e9beb1796.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Historia imeandikwa...
Kibu denis kwa ule mkicwa walai....
Usimkatie mtu tamaaa
Kibu kwa sasa ndo mchezaji wa kuogopwa...
Na atawakandda tena uto trh 26
Usimkatie mtu tamaa...No one can stop Raggae....( In Baraka Mpenja Voice)

Uto hawataki hata kuona kivuli chake...
 
Achana na kusonga mbele, hii ni mechi ya kihistoria ndugu! Labda tunatazama kwa angle zinazotofautiana
Unaangalia historia tu.

Kumfunga Ahly ilikuwa namna bora ya kuendeleza historia.
 
Back
Top Bottom