FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League
Tume maliza mqzoezi
 

Attachments

  • Screenshot_20231020_200713_Gallery.jpg
    Screenshot_20231020_200713_Gallery.jpg
    42 KB · Views: 1
Kwa tunaowajua waarabu nadhani tunaelewa kuwa safari yenu imeisha ( ayubu fc ).. mkienda kule mwafwa[emoji23][emoji23]
Kumbuka ni Yanga ndio ilimkanda mwarabu kwake USM Alger

Nini kifanyike
Simbaakimbie mechi au akubali yaishe au amtafute prof Nabi awape tuition ya kumfunga mwarabu kwake

NB: Tukutane j3 kwenye Derby kubwa East Africa Azam vs wananchi ( kiboko ya waarabu)
 
Our Faith is With Our Team.

Tutawashangaza Watu hiyo Tarehe 24/10/2023.
 
Daah
Poleni sana,Al ahly warahisi sana kufungwa sasa tutawaonyesha kazi ngoja wakutane na yanga

Wepesi sana,kwa kikutana na mpira wa KASI na wachezaji wanzuri kama wa yanga tutawapiga 3
 
Pamoja na possession kui favour Simba,wamepata sare Kwa bahati tuu.

Simba imezidiwa mbinu,kiungo hakuna,wakipoteza Mpira hawarudi kukaba wanawaachia mabeki na mwisho mbinu za kupangua ukuta hawana.
 
Cairo,.. simba itaenda kupigwa 5 si 6..

Unless BODI impige Chini haraka ROBERTNO ...


Huwezi kuanza na MICQUISON mechi kubwa ya kama Hii...hata haitaji kuwa kocha kujua uwezo wa MICQUISON tangu asajiliwe hadi anze naye..

Mechi inahitaji physique unaacha nje BALEKE , PHIRI,...

Timu haichezi soka linaloeleweka... kushukuru Mungu tu sare ya juhudi binafsi ...

Kwa style hii ya uchezaji wa fullbacks, ni aibu kwa kwa against Timu kubwa ...

Another poor match for SIMBA,
 
Back
Top Bottom