Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Hahahahhha hatari snaa aiseee....Simba anatoa Sare na Bingwa Africa.. Wakati Yanga anafungwa na Ihefu!
Thisi is about classy...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahhha hatari snaa aiseee....Simba anatoa Sare na Bingwa Africa.. Wakati Yanga anafungwa na Ihefu!
Bro nimeongea kishabiki tu.Umeangalia mpira lakn?
Ihefu Wanawasalimia[emoji1787]Huna deni kivipi wakati nafasi ya kusonga mbele haipo.
Yan unafurahia sare
Ww chura usinkkwoti plz...ww endelea kushangilia mikando ya Ihefu...Unashangilia goli mbili za mgeni 🤣🤣🤣 kweli makolo ni makolo tu
Nimeongea kishabiki brother. Acha makasiriko, Al Ahly alikuwa na Kasi, kama Liverpool.Inaonekana hujaangalia Mpira na kama umeangalia basi Hujui mpira
Habari yako Mkuu? Sasa njoo tusemezane dk 90 zimekwisha [emoji3][emoji3]I told ya,,
Sahih SanaAl ahaly Knock out stage anacheza Kwa hesabu kalii
Yaani Leo tungefungwaaa mbwa wa Yangaa tungewakomaaIhefu Wanawasalimia[emoji1787]
Anyway game imeisha .Kuna shida?