FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League
Mpira mikakati. Ila nadhani sasa ni wakati wa kuanza na Israel na Duchu.
 
Bahati nzuri mtunza risiti nimeinasa, ngoja niiwekee lamination kabisa hii post na nikatunze kwenye file langu la special case ili iwe rahisi baadae kuiibua.
Tunza mkuu,miye nishazitunza nyingiiii
 
Sasa kama kwenye uwanja wako wa nyumbani unapata sare! Tena ya magoli 2-2!!! Kweli??? Halafu wakati huo huo unajifahamu fika huna rekodi nzuri kwenye viwanja vya Waarabu, kama ilivyo kwa kaka yako!!!

Kweli kuna shabiki anaamini timu yake itasonga hatua inayofuata kwenye haya mashindano ya Bonanza!!! Au ndiyo mwendo wameumaliza!!!
 
Back
Top Bottom