Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Tuna vikombe zaidi yenu...au nyie mnachagua mechi za kucheza...Tunawangoja kama kawaida jazeni uwanja sisi tunajaza makabati kwa vikombe
Yule skudubiduu atawachomesha maindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna vikombe zaidi yenu...au nyie mnachagua mechi za kucheza...Tunawangoja kama kawaida jazeni uwanja sisi tunajaza makabati kwa vikombe
Bado hujasema mbona,kunywa maji kisha anza kusema tenaIla ukweli usemwe Simba Bado ni ya kawaida sana kwa mchezo walionesha dhidi ya nyoro nyoro power dynamo
Mtajaza vikombe vya kahawa tu 😂tunajaza makabati kwa vikombe
Kama tulivyojaza msimu uliokwisha? Na tutaendelea pale tulipoishiaMtajaza vikombe vya kahawa tu 😂
Inatosha kwa leoBado hujasema mbona,kunywa maji kisha anza kusema tena
Ona hii kolo inasema nini 😂😂😂Tuna vikombe zaidi yenu...au nyie mnachagua mechi za kucheza...
Yule skudubiduu atawachomesha maindi
Lala rafiki usijegeuka mwanga bureInatosha kwa leo
Endelea kuota njozi 😂Kama tulivyojaza msimu uliokwisha? Na tutaendelea pale tulipoishia
😂😂 Komaaaa mtoto wa mama mkwe, sina chukiUkiwa kijana mwenye chuki ukizeeka unakua mwangaa unaruka na ungo!!!
Sasa unabisha nini ww chura wa utopoloni..vikombe tunavyo zaidi yenu au unahesabu vya ligi kuu ndo maana mnaishia mtoano kila leo club bingwaOna hii kolo inasema nini 😂😂😂
Hongereni kwa mafataki na kumchosha rais wetu bureLala rafiki usijegeuka mwanga bure
Sasa we wazungumzia vikombe gan?Sasa unabisha nini ww chura wa utopoloni..vikombe tunavyo zaidi yenu au unahesabu vya ligi kuu ndo maana mnaishia mtoano kila leo club bingwa
Kumbe ulikua unafatilia...hongera Simba ni maji ya kunywa lazima mtakunywa tuu...hiii haikua sherehe tuu ilikua ninsherehe ya kitaifa...Hongereni kwa mafataki na kumchosha rais wetu bure
Pole sana...Sasa we wazungumzia vikombe gan?
HongereniKumbe ulikua unafatilia...hongera Simba ni maji ya kunywa lazima mtakunywa tuu...hiii haikua sherehe tuu ilikua ninsherehe ya kitaifa...
Jangwani yanaenda makombe na medali tuM
Maoni yako peleka jangwani.