FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

Simba wamezubaa sana,wakichangamka kidogo tu wanaimaliza kabisa hii game.Goli 1 si kitu
Goli 1 la kupewa sio kitu inabidi Simba wakandwe 2 ili akili ziwakae sawa
 
Wakati free kick inapigwa Kibu hakuwa offside
Sasa kama Kibu hakuwa offside, kwanini Refa akaenda kucheck VAR ili kuona kama Kibu aliugusa au kuuingilia mpira?
Kwanini Refa hakukwenda kucheck VAR ili kuona Kibu kama yupo kwenye offside position?

Kwa kifupi sana, Kibu alikuwa offside, issue ni je, aliuingilia mpira ama la.
 
Nakubaliana na Mbinu hii Simba aliyoingia nayo 2nd Half
 
Jamaa zetu bila ulonzi hawatoboi
 

Attachments

  • Screenshot_20250420_170532_Instagram.jpg
    410.2 KB · Views: 18
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…