FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

Hua najiuliza kocha ni kua Kuna mambo hua anayaona ambayo hatuyaoni? Mtu anaomba sub unamkatalia ..
 
Kolo mmeshinda japo hamna furaha msijali ndio football ilivyo ila nawakumbusha tuu msiende tena kuchoma uwanja wa watu kule south kwa kuendekeza ulozi wenu
 
Heri ya Pasaka babu Grahams

Endelea kuandaa kibunda wiki ijayo kinakutoka, biashara inaenda kuishia kwa Madiba.

Kwa leo, hongera.
Heri ya Pasaka kwako pia Mjukuu

Nilikuwa Mtaani kula pweza kidogo, si unajua sikukuu 🤗

Wale wasouth Wana bahati sana, otherwise ilikuwa wanywe nyingi sana

Niandalie zawadi yangu tu, wale tunaenda kuwafurusha kule kule kwao 💪👊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…