FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Ila nini sasa? Wee una kifafa cha ukubwani?
Em tulia kulee, wala hupewi ban, mtoroka milembe.
Mxxxiiiieeeew
Mmemuongeza mganga pesa chap uduguuu 😹😹😹
 
Usimuite huyo genta ni mnafiki sana huyo si ndo alikua anasema kuwa hatuvuki
 
Mods safi sana naona ban zinaanza kutembea Igweeeeeeeeeeee 🫑😹😹
 
Nayo bado unateseka?
Na m'bado
Nani ateseke? Yani niteseke wakati Nina medali shingoni ya fainali but unaangaika na kitimu kibovu icho mpaka unapita kwa penalty na zenyewe kwa nguvu za ndumba na bado iyo ni nusu je ukifika fainali kama yanga si utavua nguo kabisa na kutembea uchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…