Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Yaani hapa naona kama Kajala kanipiga busu tu, kwani ndo umetukana mwenyewe?!!Zamani nilikuwa nikishtuka sana nikimuona mtu anamwita mwingine "wewe mbwa nini?"
Ila kwa sasa nimeelewa kuna watu wana akili kama mbwa tuu! Na wengine ni members wa JF
Mwamposa ni mtume nanusu 😁
Msimu ule mmefika fainali, simba ingekuwa Simba ameshiriki hayo mashindano angechukua kombe. Kuanzia hao uliowataja pamoja na mliocheza nao fainali wote ni underdog Kwa Simba.Basi kama wewe ni Bora kuliko malumo na Rivers nenda na iyo timu yako ufike fainali kama wenzako tuone!
Kati ya Zamalek au Stellenbosch ya SA. Hadi sasa dk ya 82 Stellenbosch anaongoza 1 ugenini Misri. Na agg ndio hilohilo 1. Leg ya kwanza SA ilikuwa bilabila.Yah! Umekuwa uwanja mgumu sana kwa wapinzani Mtani.
Hivi mnakuja kukutana na timu gani Semi Final?
Leo full raha twajirusha na warembonwa simbaaaaaDemu wake na Labani og kakutoroka?
Acha ufala.
Mbususu ziko nje nje kwa mademu wa utopwinyo changamkia hao demus waliowekwa rehani 😂😂
Umesahau Utopolo Alitakiwa Ashinde Goli Moja Taifa Ila Akashindwa Akatolewa 16Mwaka robo kawa mwaka nusu
Mganga wao wa ukweli....mtumieni mukawaloge cas wawape point tatu zenuYah! Umekuwa uwanja mgumu sana kwa wapinzani Mtani.
Hivi mnakuja kukutana na timu gani Semi Final?
Unajifurahisha wewe,,si unayo timu ya kufika fainali tusiandikie mate na wino upo fika fainali na wewe kama ni ni kidume kweliMsimu ule mmefika fainali, simba ingekuwa Simba ameshiriki hayo mashindano angechukua kombe. Kuanzia hao uliowataja pamoja na mliocheza nao fainali wote ni underdog Kwa Simba.
Hapa unawanga ukiwa na umri huu je ukizeeka kidogo utawanga sana.Naitakia Simba ushindi wa mabao 5 kwa 3.
Simba nguvu moja.
Huu ni mpango wa God tutinge fainaliBila shaka tutacheza na wasauzi nusu fainali.Mwarabu kashageuzwa huku
Wasauzi wameamua safari hii