FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

Wakuu mbona naanza mashaka na huyu kocha,mpira hauvutii,hata kama wachezaji wabovu ina maana plan zake ndo hizi?
Ungeangalia reaction ya kocha wakati Saidoo, Kibu na Shabalala walipokuwa wanafanya makosa.
Ni wazi kocha amekuta timu haina quality Ila angewavumilia Phiri na Baleke wangemsaidia kuliko Hawa ambao ni wabinafsi, wanashindea kutoa pasi kwa wakati na kufanya maamuzi yasiyo sahihi.
 
Kwahyo shida sio GSM kumbe..?
 
Kwann benchika hamuanzishi Willy Onana kama namba 9? Mbona Rayon sports alikuwa akicheza kama striker?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…