Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
- Thread starter
- #181
Kuanzia liniMakolo. Wakishinda wanaanzishaga hadi nyuzi za Kiingereza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia liniMakolo. Wakishinda wanaanzishaga hadi nyuzi za Kiingereza
HaitofaaSimba sare tu inatutosha.
Game badoWamegawana point
Ungeangalia reaction ya kocha wakati Saidoo, Kibu na Shabalala walipokuwa wanafanya makosa.Wakuu mbona naanza mashaka na huyu kocha,mpira hauvutii,hata kama wachezaji wabovu ina maana plan zake ndo hizi?
Na hapo ndio katoka kozi ya muda mfupiWakuu mbona naanza mashaka na huyu kocha,mpira hauvutii,hata kama wachezaji wabovu ina maana plan zake ndo hizi?
Endeleeni kufuatilia ya Yanga huku kwenu kunateketeaSimba imekuwa timu ya ovyo sana. Inakera sana
Huna generatorAaah tanescooo
Wa jana ulitembeaLeo uzi hautembei
Kwahyo shida sio GSM kumbe..?Muangalie kibu.D hapa anapewa pasi ya penetration anashindwa kuanticipate kukimbia kabla maana anauwezo wa kuzidi mbioa mchezaji alienae inapigwa pasi kazubaa pembeni
Mtu mwenye ubunifu halisi wa kua winga pale anakimbia
Goli la namna hii lilifungwa na karabaka
Luis jose mwnywe pale nahisi angeanticipate ile movement
Saido anashindwa kucontrol mali anakua kama black hole mipira 70%ikienda hairudi
Koublan ni tisa anakaa na mali kama namba 8 wa kina guardiola tena ile ile ya tikitaka
Ovyo kabisa
Wanasubiri wafunge ndio wajeLeo uzi hautembei
Sisi sio nyieYaani makolo aliewaroga anatakiwa akamatwe haiwezekan saiv apa mnalala ila mkifunga ata kigoli kimoja t mnasahau nakuanz kuisifia team yenu mnasahau madhaif mlokua nayo
Jana mlimyweaWanasubiri wafunge ndio waje
Mlisahau ilo mkaanza kuwaongelea Yanga utasema nyie ndo mamelodi, hahaSimba imekuwa timu ya ovyo sana. Inakera sana
Bado sanaMlisahau ilo mkaanza kuwaongelea Yanga utasema nyie ndo mamelodi, haha
🤣🤣🤣 Mkuu page ya piliWa jana ulitembea