FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

Wakuu mbona naanza mashaka na huyu kocha,mpira hauvutii,hata kama wachezaji wabovu ina maana plan zake ndo hizi?
Ungeangalia reaction ya kocha wakati Saidoo, Kibu na Shabalala walipokuwa wanafanya makosa.
Ni wazi kocha amekuta timu haina quality Ila angewavumilia Phiri na Baleke wangemsaidia kuliko Hawa ambao ni wabinafsi, wanashindea kutoa pasi kwa wakati na kufanya maamuzi yasiyo sahihi.
 
Muangalie kibu.D hapa anapewa pasi ya penetration anashindwa kuanticipate kukimbia kabla maana anauwezo wa kuzidi mbioa mchezaji alienae inapigwa pasi kazubaa pembeni
Mtu mwenye ubunifu halisi wa kua winga pale anakimbia
Goli la namna hii lilifungwa na karabaka
Luis jose mwnywe pale nahisi angeanticipate ile movement

Saido anashindwa kucontrol mali anakua kama black hole mipira 70%ikienda hairudi

Koublan ni tisa anakaa na mali kama namba 8 wa kina guardiola tena ile ile ya tikitaka


Ovyo kabisa
Kwahyo shida sio GSM kumbe..?
 
Kwann benchika hamuanzishi Willy Onana kama namba 9? Mbona Rayon sports alikuwa akicheza kama striker?
 
Back
Top Bottom