FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

Mkuu Babra ni afadhali kuliko Kajuni,jamaa anakuja kwenye mkutano na kusema mafanikio ni ngao ya jamii na WhatsApp channel na anajisifu?
Mchawi wa sasa wa simba ni Mo mwenyewe badala ya kuweka watu wa mpira yeye akabaki kutoa pesa,amejaza machawa tu.
 
Inonga,Shemalon, Ayub,...wengine sijui nani anafaa
Ni wa 4 tu Inonga,Ngoma,malone(anapiga kazi kubwa ila makosa mengi) ,ngoma kakosa viungo wa maana kumsaidia ,chama maji ya jioni.Ayubu hana footwork mzuri tukikutana na timu inayopress kazi ipo...Shomari na Hussein atleast ila nao hawana winga za maana kuwasadia.
 
Back
Top Bottom