FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

Timu imewekewa mazingira ya uhakika point 24 halafu unasema kuna timu?. Simba inatoa jasho kila mechi tunawapongeza . Madhara yake hata kama wanajifanya hawaoni . Kimataifa ni mdebwedo🤓
Kweli mnatoa jasho bila kusahau mechi ya kwanza na Azam ilitakiwa iwe droo goli zote offside,ila sio mbaya jasho lenu wanakula marefa.
 
Simba atapata kwa nani points 3 alizo drop leo? Hopeless simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…