FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Mi sijaangalia kipindi cha pili chote
 
Nim report kwa moderators? Akat me mwenyewee naweza kum mudu? Wee ntamfurahishaaa mbna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣😂😁😁 Mpige spana huyooo pigaa huyoooo mpaka awe na adabu
 
Yaan huwa unajistukiaaa haswaaa.
Kwan huwa unaogopaga nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenzio wotee wamepoteanaaaa.
🤣😁😁😁Napenda sana mpira ndo maana najiamini wanao kimbia wengi ni mashabiki maandazi
 
Kwa hiyo ikiwa mipira ya pembeni tu, basi refa wa kati anatakiwa kufumba macho ili asubiri mshika kibendera aaamue? Au na yeye hufuatilia?

Ova
 
Yanga kumbuken hata ngao na nyie tuliwakula hivi hivi... Mlilalamika sana lakini mwisho wa siku tayari tulikua tushawakula.
 
Nenda u tube uka hakiki hakuna mchezaji yoyote wa Singida aliye ugusa mpira wakati unatoka miguuni kwa Saidoo ili iwe Kona.
Yale ni Mapenzi ya refa na Wala hakukosea ila alikusudia.
Soccer letu kivyetu vyetu.
Tangu lini ukauzungumzia mpira bila kuwa biased? Ule mpira uliguswa na hata kipa wa Singida alilijua hilo ndiomaana akawa anakomaa kuudaka ule mpira licha ya kwamba haukuwa unaelekea golini na tayari umetoka. Kipa alikuwa anajaribu kuokoa kona isitokee.

Nyie lalamikieni dakika tu, kitu ambacho pia bado hakina mashiko.
 
Hivi mpira haukuguswa halafu yule kipa akimbilie kuudaka wakati mda wote alikuwa bingwa wa kupoteza mda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…