FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

Makolo bila refa hamna timu, na derby watakaa, yaani no contact refa kafunika penati , rafu kabla ya kupokea mpira refa kapeta Ateba akafunga, beki kacheza mpira refa kafunika faulo sehemu ya hatari, Tabora wakiondoka mshika kibendera Fatma alichoambiwa ni kuinua shuka juu tu, hii ni aibu kubwa, hawa marefa wataishia NBC premier league tu!!

Mlungula wa refa uko laivu Ally Hassan Mwinyi , mbeleko FC ni aibu kwa soka letu!!

Yacouba na Makambo injini za Tabora United msimu huu leo wamewekwa jukwaani, kweli simba bingwa wa mechi za nje ya uwanja! Ila ni mbio za sakafuni tu, Yanga bingwa tu!

Kisa Yanga kuongoza ligi, simba lazima ibebwe kila mechi ila tarehe 8 tutawakanda na kukaa kileleni bila bugudha. Yanga ina intensity hatari mnyama lazima akae kibla achinjwe!
Farijianeni Kwa maneno hayo ya msibani,safari hii mtagongwa sana
 
Refa kawanyima penati ya Kapombe Simba hukuti Utopolo wakiongelea,utadhani si wao waliopata penati mbili jana
 
Refa kawanyima penati ya Kapombe Simba hukuti Utopolo wakiongelea,utadhani si wao waliopata penati mbili
 

Attachments

  • Screenshot_20250202-170215.png
    Screenshot_20250202-170215.png
    2.4 MB · Views: 1
Utopolo akipewa penati 2 ni sahihi ila simba akipewa penati vilio vinakua vingi bc iyo penati tunaita sio goal
 
Naona straika lenye wowowooo kama Joyce leo litaimbwa sana sifa apewe muamuzi wa kati..
 
Back
Top Bottom