FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Baada ya hii afcon Samatta na Msuva wastaafu tu kimataifa, hakuna wanachoongeza kwenye hii timu na kiuwezo hawana tofauti na wachezaji wa kawaida wa ligi kuu.
 
Yaan hadi tumbo linauma pesa yangu c bora ningeweka kesho ningejiendea cafe nikalee mapocho pocho, woiiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa pole sana my
 
Walivyowatoa tu kii players Nami nikaacha kuangalia.
 
Congo mnataka kuniangusha na nilishawapa pesa yangu?
Wee fanyeni nichukue changu kwa Muhindi, Lol
Pole, hii afcon ni kiboko, imejua kunifilisi kwa haraka haraka ni kama M 2 hivi wamepita nayo.
Game za
Misri vs msumbiji
Algeria vs angola
Japan vs iraq
Guinea vs ivory coast

Zimenifilisi zimeniacha na vidonda sijui nitaponaje, nilikuwa nishaacha huu mchezo sijui ibilisi gani kaniingia nimecheza huu mchezo 😔😔
 
Nadhani hata hiyo droo ni wao walijitengenezea mazingira ya kujirahisishia kwenye michezo iliyopita.

Na ndio maana droo inaleta advantage kwao na sio kwetu.

Lakini kama ulivyosema kuwa tunastahili kujipongeza ni sahihi hata mimi nakubaliana

Hoja ya msingi ni kwanini tujipongeze kwenye kuzuia kufungwa kuliko kujipongeza kwenye ushambuliaji ambako ndio sehemu muhimu kwenye mechi ya do or die?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…