Liver wenyewe walikula red walipocheza nadhan na tott lakin waliscore na kudefence mpaka game ikaisha kwa draw.

Jamaa wana qualitu players, kinachoudhi ni hata hawatumii nguvu nyingi kutuchapa.
 
Siasa na mpira πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Kumbe FEI alikuwa uwanjani!πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Na Badoooo, nyambafu.
Ili soka liendelee bongo, siasa na kujuana juana wekeni pembeni la sivyo mtakuwa VIBONDE STARS dadadekii
Rushwa ni adui wa maendeleo kwenye kile sector, huku kwenye mpira Tz mambo yanaenda kwa kujuana sana. Huku uraiani kuna watu wanapiga mpira kuliko wengi tu wanaocheza kwenye ligi yetu, ila sasa watafikaje huko na hawana connections.

Tutengeneze mfumo mzuri wa kutafuta vipaji fair bila ukiritimba, tutafika mbali miaka ijayo.
 
Sawa vipi Manula?
 
Liver wenyewe walikula red walipocheza nadhan na tott lakin waliscore na kudefence mpaka game ikaisha kwa draw.

Jamaa wana qualitu players, kinachoudhi ni hata hawatumii nguvu nyingi kutuchapa.
Sasa aie mpira sii tumehamishia mdomoni kaka. Wewe first 30 minutes pass za mbele ,over overhit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…