Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Liver wenyewe walikula red walipocheza nadhan na tott lakin waliscore na kudefence mpaka game ikaisha kwa draw.Hamna bwana hatuna quality tuu. Kwanza kwa nadharia ya mpira losing a player doesnt effect a team defensively, it impacts a team offensively since they have one less passing option.
Wee areigo sacchi alipanga defense yake ya watu wanne dhidi ya wachezaji 10 na hawakufunga and mind u this was the great milan side of 1989
HaitoiJamani zambia vs congo GG sii inatoa?
ChomoaFT
Morocco 3 - 0 Tanzania
Goalkeeper tunaye....Goalkeeper ndo hakuna kitu!!!!!
WamejitahidiHao ndio watatupiga 7, kwa mtindo huu
Pesa zote ziko Lumumba hapoMajizi yamekwapua kodi za wananchi yameenda kuzipoteza yanatudanganya harambee yamekusanya bilion 3.7
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha izameee.Chomoa
Rushwa ni adui wa maendeleo kwenye kile sector, huku kwenye mpira Tz mambo yanaenda kwa kujuana sana. Huku uraiani kuna watu wanapiga mpira kuliko wengi tu wanaocheza kwenye ligi yetu, ila sasa watafikaje huko na hawana connections.Na Badoooo, nyambafu.
Ili soka liendelee bongo, siasa na kujuana juana wekeni pembeni la sivyo mtakuwa VIBONDE STARS dadadekii
Sawa vipi Manula?Hamna bwana hatuna quality tuu. Kwanza kwa nadharia ya mpira losing a player doesnt effect a team defensively, it impacts a team offensively since they have one less passing option.
Wee areigo sacchi alipanga defense yake ya watu wanne dhidi ya wachezaji 10 na hawakufunga and mind u this was the great milan side of 1989
Usilie beshte ulifikiri kwa beki ile tungetoboa??? 😂 😂 😂Nimelia sana Beshte....
Sasa aie mpira sii tumehamishia mdomoni kaka. Wewe first 30 minutes pass za mbele ,over overhitLiver wenyewe walikula red walipocheza nadhan na tott lakin waliscore na kudefence mpaka game ikaisha kwa draw.
Jamaa wana qualitu players, kinachoudhi ni hata hawatumii nguvu nyingi kutuchapa.