Nikiwa banda umiza jirani zangu walianza lalamika samata atoke, nikawaambia akitoka tunapigwa nyingi, hawakunielewa, baada ya mechi hatukuagana
 
Tayari kila timu imekaaa nafasi yake hapa

Maji na mafuta vishajitenga😀😀😀
 

Attachments

  • Screenshot_20240118_060306_FotMob.jpg
    14.8 KB · Views: 3
Watoto Gani watalelewa huko wakati wanazulumiwa ela na TFF, si Kuna watoto walipewa elfu 20 za nauli
 
Wak
Amorouche atupiwe virago huko huko cote de ivore. Samata naye hana jipya, apumzishwe sasa
 
Hili kombe mwaka huu halina mwenyewe naomba Stars mcheze kama mmetumwa na kijiji tunachukua hii ndoo.
Yaani Taifa stars ishinde dhidi ya Timu ambayo ilicheza robo fainali kombe la Dunia na ikaibuka kidedea mbele ya Portugal yenye wachezaji mahiri kama Cr7,Jota,Bruno Fernandes na wenzie wengi ambao wametoka vilabu vya uingereza!

Hivi watz huwa mnawaza kupitia akili za wapi?
Mpira siyo janjajanja..
Tz tunachoweza ni kupiga mdomo tu,mpira bado hatuuwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora stars imeshindwa, zaidi ya ufisadi, hakuna kitu kifanywacho na seikai ya chichiem kitakaa kifanikiwe hadi mwisho wa dunia.
 
Tunaweza Kupiga mdomo na kupiga pesa za umma baaaasi
 
[emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji2][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]Yametimia Sasa Huenda Timu Ikafungwa Mechi Zijazi Magoli Mengi Ikaondolewa Kwa Aibu
Wanacheza tena na nani?
Watolewe tu mapema,taifa lisiendelee kupoteza fedha kwenye vutu vya kijinga.


Naombea mechi zote Taifa Stars ifungwe.

Zambia na DRC wapo moto,Zambia siyo wazuri sana ila Golikipa mzuri
Congo kocha wao kiazi

Hakuna timu yati ya hizi utaweza kufungwa na Taifa Stars.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…