Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Debe tupuWalewale
Nikiwa banda umiza jirani zangu walianza lalamika samata atoke, nikawaambia akitoka tunapigwa nyingi, hawakunielewa, baada ya mechi hatukuaganaHuyu kocha sio mzuri sasa nimemuelewa Karia kwanini hakuwatoa players waliokuwa na risks za red cards mapema
Pili pamoja na kuwa Samatta hakuwa ktk kiwango kizuri alitakiwa acheze 99 minutes sababu alikuwa anakabwa na wachezaji wawili.
Huyu aondoke Hafai kabisa
Watoto Gani watalelewa huko wakati wanazulumiwa ela na TFF, si Kuna watoto walipewa elfu 20 za nauliManeno hayasaidii chochote miaka itaenda itarudi lakin hakuna kitu tutFanya kama hakuna mabadiliko yatayofanyika.
Watafutwe watoto watakaolelewa zile top cream talent zenyew sio za kutoa pesa, serikali ilee hawa watoto huku wakiwa wanasoma pamoja.
Wapate na mwalimu wa kuwafundisha miaka 10 tu Itakua ni hatari.
Halafu shida hatuna exposure kubwa kama wenzetu,
Shida kila kitu ni siasa na rushwa
Amorouche atupiwe virago huko huko cote de ivore. Samata naye hana jipya, apumzishwe sasaTanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku
Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo.
Upi utabiri wako wa mechi hiyo?
===========
Timu ya taifa ya #Tanzania ‘TaifaStars’ inatarajiwa kuanza ushiriki wake wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2023) kwa kukipiga dhidi ya Morocco katika mchezo wa Kundi F, leo Januari 17, 2024.
Baada ya mechi ya Morocco, Tanzania inayonolewa na Kocha Adel Amrouche inatarajiwa kukutana na Zambia (Januari 21, 2024) kisha dhidi ya DR Congo (Januari 24, 2024).
Jikumbushe historia ya mechi zilizopita baina ya wababe hao wawili; Tanzania 0-2 Morocco (2023), Morocco 2-1 Tanzania (2013), Tanzania 3-1 Morocco (2013), Morocco 3-1 Tanzania (2011), Tanzania 0-1 Morocco (2010).
View attachment 2874722
22' Himidi Mao anaoneshwa kadi ya njano.
Dakika ya 29 Morocco 0 - 0
Dakika ya 30 Morocco wanapata goli la kwanza.
31' Novatus anaoneshwa kadi ya njano.
Dakika ya 33 Morocco 1 -0 Tanzania
Dakika 38 anatoka Tarryn anaingia Msuva.
HT: Morocco 1 - 0 Tanzania
46' Anaingia Morice Abraham anatoka Mudathir
70' Novatus Dismas anaoneshwa kadi ya njano ya pili
77' Gooooooal Ounachi: Tanzania 0 - 2 Morocco
80' Goooal El Nesry: Tanzania 0 - 3 Morocco.
FT: Tanzania 0 - 3 Morocco
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kichwa cha mwenda wazimu kinacheza leo, zikipungua sana 3
Wamepigwa TuMie nataka staz wapigwe ili kamati ya maokoto isambaratike
Yaani Taifa stars ishinde dhidi ya Timu ambayo ilicheza robo fainali kombe la Dunia na ikaibuka kidedea mbele ya Portugal yenye wachezaji mahiri kama Cr7,Jota,Bruno Fernandes na wenzie wengi ambao wametoka vilabu vya uingereza!Hili kombe mwaka huu halina mwenyewe naomba Stars mcheze kama mmetumwa na kijiji tunachukua hii ndoo.
Kwamba mechi ya Tanzania dhidi ya Morocco ulisubiri dk 90 ziishe upate majibu?Hapa nimekutana na Mmorocco anasema leo wana tuchapa tu, nimemwabia dakika 90 zikimaliza tutamjua nani mshindi.
Tunaweza Kupiga mdomo na kupiga pesa za umma baaaasiYaani Taifa stars ishinde dhidi ya Timu ambayo ilicheza robo fainali kombe la Dunia na ikaibuka kidedea mbele ya Portugal yenye wachezaji mahiri kama Cr7,Jota,Bruno Fernandes na wenzie wengi ambao wametoka vilabu vya uingereza!
Hivi watz kuwa mnawaza kupitia akili za wapi?
Mpira siyo janjajanja..
Tz tunachoweza ni kupiga mdomo tu,mpira bado hatuuwezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanacheza tena na nani?[emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji2][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]Yametimia Sasa Huenda Timu Ikafungwa Mechi Zijazi Magoli Mengi Ikaondolewa Kwa Aibu
Safi sanaWamepigwa Tu
Tunamshukuru sana mama Samia kwa kufanikisha hilo.Wamepigwa Tu