wapenzi wa mpira tuwekeeni link ya kuuona huu mpira via internet.
 
Tumeenda kufanya utalii. Hatuna timu ya kuweza kuzifunga Morocco, DRC na Zambia.
Game ya leo jua liwake, mvua inyeshe hatuwezi kupata hata goal la offside.

Muda ni hakimu mzuri.
 
Tumeenda kufanya utalii. Hatuna timu ya kuweza kuzifunga Morocco, DRC na Zambia.
Game ya leo jua liwake, mvua inyeshe hatuwezi kupata hata goal la offside.

Muda ni hakimu mzuri.
Huu ugonjwa wa kujikataa wanao watanganyika,wanaodai zenji wanatuzidi mpira wakati tumewabomoa Mara kibao
 
ht
🇲🇦 vs 🇹🇿
🇲Cs 1-0/0-0
3.00
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…