FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
kipa.hatuna bwana goli la jamaa wa sevilla ni kipo tosha kabisa kuwa kipa wako ni mbovu
Sasa kachukueni kipa huyo wa maana, afu tutaona hapaa.
Maana Manula ashakua zigo la lawama la team.

Wachezaji wanacheza hovyo, lawama anapewa yeye, ningekua mie ningeshakataaa kitambooo.
 
Kwa timu yenye ubora kama ile 3 kipa kajitahidi sana maana huko ni magoli ya uhakika sio ule ulozi na uchawi wa utopolo siku ile..hahaha...
Ile ya 5 unaambiwa za ndaaani gamondi alilala sana makaburini kule temeke 😂🤣🤣😁
 
Nadhani TZ tungeweka nguvu kwenye mambo mengine. Kwenye mpira wa miguu hatuna vipaji. Zambia wana ligi ya kimaskini ila timu ya Taifa ina wakali kibao wanaokipiga nje ya nchi yao. Clatous Chama huwa haanzi first eleven ila hapa TZ ni mfalme..
 
Sasa kachukueni kipa huyo wa maana, afu tutaona hapaa.
Maana Manula ashakua zigo la lawama la team.

Wachezaji wanacheza hovyo, lawama anapewa yeye, ningekua mie ningeshakataaa kitambooo.
Imeuma chomoa
 
tuliiotaka ifungwe tulipewa uzi wetu kabisa kha nkawapa na matokeo mapemaa
 
Attachments

  • Screenshot_20240117_221429_Chrome.jpg
    Screenshot_20240117_221429_Chrome.jpg
    87.4 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240117_221530_Chrome.jpg
    Screenshot_20240117_221530_Chrome.jpg
    74.7 KB · Views: 3
Vijana wamepambana kwa uwezo wao wote, Tunakutana na timu zenye wachezaji wengi wanao cheza katika madaraja ya juu uko Ulaya.
Ili tufanikiwe tunaitaji mpango maalum wa kupeleka vijana wengi wakacheze soka nje ya Tanzania hasa Ulaya.
Nani anafanya hiyo kazi?
Vijana wa academy wazazi wao wanaenda kuonga pesa wale wenye uwezo halafu vjana wenye vipaji wanaachwa sababu ya ulafi na rushwa.

Wapo madogo wanacheza mtaani lakini nani wakuwabeba? Hakuna wanaishia mtaani na umri unaenda
 
Nadhani TZ tungeweka nguvu kwenye mambo mengine. Kwenye mpira wa miguu hatuna vipaji. Zambia wana ligi ya kimaskini ila timu ya Taifa ina wakali kibao wanaokipiga nje ya nchi yao. Clatous Chama huwa haanzi first eleven ila hapa TZ ni mfalme..
Penda cha kwenu wewe mkataa kwao ni Mtumwa
 
Sasa kachukueni kipa huyo wa maana, afu tutaona hapaa.
Maana Manula ashakua zigo la lawama la team.

Wachezaji wanacheza hovyo, lawama anapewa yeye, ningekua mie ningeshakataaa kitambooo.
Unaangalia wapi hebu nipe link
 
Back
Top Bottom