FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Mbona backline ilikuwa wanne jamani midfield watano.
Iwalivyoanza na muda mwingi wa mchezo watu wa mwisho Walikuwa bacca, bakari na mnoga .
Zimbwe na novatus wakawa mbele kidogo kuanzisha mashambulizi .
 
Me nilitaka stars akandwe hata goli 10.
Screenshot_20240117-225455~2.png
 
Huyu mtangazaji wa leo wa mpira kati ya tz na Morocco ana shida gani na Tanzania. Au alinyimwa makinikia? Maana anawavyo izodoa team ya Tanzania. Anahudhi sana
 
Sema tumedondokea kwa timu kubwa mazee kucheza na world cup semi finalists si mchezo tena kikosi kile kile, huku wachezaji wengi wakichezea timu kubwa Europe ilihali sisi hatujawahi hata kufuzu huko world cup, mimi nasubiria nione kama na Zambia na Congo nao watatoboa kwa Morocco
 
Mkuu embu tulia.
Morocco leo wameniheshimisha mama samia mwenyew anaibetia morocco
🤣🤣
Shida hatuupendi ukweli na siasa kila sehemu
Siasa imeathiri vipi mchezo wa leo??

Ukiachana na hizi propaganda za huku nje, sidhani kama zinaathiri direct saikolojia ya wachezaji.

Tukubali tu wachezaji wetu viwango ni duni.
 
Back
Top Bottom