FT: Usiku wa El Classico: Barcelona 1-2 Real Madrid | Venue: Spotify Camp Nou

Mechi ijayo ya Barcelona vs Alaves tarehe 31 jumamosi kitu Barca atakachoifanyia huyo kibonde yani hasira zote za leo atamuangushia.
 
Pale unapolipia online kitabu cha mbinu ya kuwa tapeli halafu yanapita masaa kitabu hakifiki na simu hapokei
Your browser is not able to display this video.
 
I can't believe Cucurella cooked his national teammate
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ walau ujipozee kwa Los Blancos.

Sio mbayaa, tutakutana tuu, tutawapiga km ngoma, si mnatujua tunavyowachakazaga??
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jichanganyee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Eti ila huyo kobaziπŸ€£πŸ˜‚
Dogo namkubali kwa sababu mchaMungu sana na yuko humble sio kama Yamal Mzee wa totoz , show offs na Salah Mzee wa kutukera .

Mtu wa dini sana amehifadhi Qur'an hata celebration yake akinyoosha kidole Cha shahada juu na moyo kifuani akikududia hivi πŸ‘‡



 
Kipofu leo kaona.

Nomeshangaa leo hawajaweka duara la kushangilia kumfunga Barca.
 
Oya dogo mimi hunitoi Barca lamine Yamal. Salah angekuwa real madrid ningekuwa na wakati mgumu sana. Namuombea lamine Yamal abebe baloon na salah mwaka kesho. Ikitokea hivyo sitamdai tena mungu.

Barca 2 Madrid 0

hydroxo
Yaani Salah katamba miaka yote hiyo hajachukua ballon d'or halafu aje kuichukua mwakani? Maombi mengine hata Mungu huwa hapotezi muda wake kuyasikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…