FT: Usiku wa El Classico: Barcelona 1-2 Real Madrid | Venue: Spotify Camp Nou

Anachukua Mbappe

Ila hata akichukua Kane ni fresh ila naamini Mbappe anaweza kuibuka mshindi kwenye hiyo tuzo.

Mbappe hawezi beba sababu makombe counts hata kama ni asilimia ndogo. Mbappe kaondoka kapa.

Mwaka wa WC, WC inapewa uzito, Yamal could've had a slum dunk kama angefanya vizuri hata kidogo WC ila alipotea kama kawaida yaka kwenye match za msingi. Alibeba WC nevertheless.

Kane alikiwasha na alibeba ndoo at club level so nampa yeye asilimia kubwa. Mbappe no way.
 
Mbappe nna mashaka sana na kile kigezo cha timu kubeba makombe kinaweza kikamtoa kwenye reli.

Naona Harry Kane kama ni favorite zaidi kuliko Mbappe na Yamal.

Ngoja tuone itakavyokuwa.
Ni sahihi.

Ila yote dua tu, isipokuwa Lamine tu asichukue. Kwanza akichukua itampumbaza zaidi. Akose ajifunze kubehave na kufuata ile discipline ya CR7 na LM10 akae sawa, maana watu tunatamani kuona vijana wanaotisha kama hiyo era ya wawili iliyoisha, sasa dogo yupo kwenye njia nzuri ila ujinga mwingi!
 
Kwahiyo ninyi wote pamoja bibi zenu mnaamini tatizo la Real Madrid ni Vini tu kama ulivyosema?

Vini ni tatizo 95%.

Vini akirudi na akiendelea kucheza vile vile atapoteza namba au achezeshwe timu irudi ilipokuwa kabla ya suspension yake.
 

Subiri Vini arudi utajionea. Hii game Vini angeanza tungepoteza in the first 20 minutes.
 
Tuzo za kiwaki

Individual performance inahusina nini na mafanikio ya timu?

Hii tuzo kama atakosa Mbappe basi mtu sahihi ni Harry Kane, kwanza yuko very mature hakuwa na muda wa kampeni kama Mbappe na Lamine jinsi walivyokuwa wakijinadi.

Lakini kumpa Lamine Yamal itakuwa ni biggest Robbery kuliko ile ya 2010 aliyoifanya Baba yake.
 

Sahihi. Mtu sahihi ni Kane tu yule jamaa anamwaga moto.
 
Yes dogo ana ujinga na mdomo mdomo fulani.

Nafkiri umri na malezi pia yanachangia.

Japo ni pure talent ila ana mambo mengi sana ya nje ya uwanja ikiwamo kupenda mishangazi ambayo naona inamuharibia kuliko kumjenga.

Labda akikua ataacha.

Binafsi siwezi kuwa mnafki nataka dogo achukue japo najua kwenye uhalisia haiwezekani.

Mbappe au Kane kwangu sawa tu japo nataka Mbappe zaidi kuliko kane kwa sababu ya rekodi za la liga.

Sema kipengele hapo kwenye makombe ndio pananitia mashaka.

Yamal hata asipobeba sasa in future akitulia atabeba tu talent ipo.
 
Sisi tumekuwa tukisema haya haya ambayo wewe umeyasema ila mmekuwa mkituita haters.

Utofauti wako na sisi ni nyakati tu. Ni muda gani ambapo wewe unaongia ukweli ni baada ya kufungwa.

Wakati sisi tunaweza kuongea ukweli huo hata kwenye game ambayo mmeshinda ila bahati mbaya huo ni wakati ambao ni vigumu sisi kueleweka.
 
Lakini kumpa Lamine Yamal itakuwa ni biggest Robbery kuliko ile ya 2010 aliyoifanya Baba yake.
Kwa Yamal sidhani kama atapewa.

Kwenye uhalisia dogo hawezi pata japo kwa ushabiki shabiki anaweza kupata.
 
Ndio, huyo dogo anahitaji kutuliza kichwa sana. Uzuri ana case study ya maana kabisa ya CR7&LM10. Akitulia hizo tuzo zitamiminika tu zenyewe mbeleni, si kuhangaika kubebelea familia nzima na kuandaa party kwa tuzo za kusubiri bahati nasibu.
 
Hapana sidhani kama hiyo ni sababu ya kufungwa.

Kuna vitu uwa naviona vipo nje sana ya mambo ya kimpira ukiviendekeza hutoboi.

Kina Messi na CR7 tunawaimba mpaka leo japo ni wakubwa ki umri ni kwa sababu ya nidhamu ya nje ya uwanja.

Dogo kwenye mishangazi anazingua sema hatuwezi kumfanya chochote au kumpangia.

Hata baba ake alipomuonya kuhusu mishangazi akaishia kula block na kufungiwa vioo.

Dogo ni talent sema nguvu ya ziada isipotumika anaweza kuishia vibaya.

Natumai akikua ataacha.
 
Bata na anapenda ku flex.

Na hii ndio maana left backs zinamuwekea mikakati mikali ya kumdhibiti kwasababu wanajua akiwasumbua atatamba.

Mfano mechi ya PSG alikuja na mkwara "PSG I've come"

Watu wakamfungia booster mechi ikaisha wakiwa wamepoteza.

Of course sitaki dogo abebeshwe lawama ambazo zinaweza kumuathiri kisaikolojia akakosa kujiamini ila uongozi ujitahidi kumsaidia dogo apunguze baadhi ya mambo unnecessary
 
Hivi Barcelona angeshinda huu Uzi ingekuwa mrefu hivi?

Amakweli Kibanga kampiga mkoloni hadi imekuwa gumzo.


Cc hydroxo.
Waache jamaa zetu nao wainojoi kwa kutufunga.

Misimu miwili hapo nyuma tumewaonea onea sana.

Kwa kweli tungeshinda sisi uzi ungekuwa mfupi tu si unajua sisi kumfunga Madrid sio habari tena habari ni wao kutufunga sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…