Mpira haujui focus na bage zako tu πDogo Haya bana
MKodini aje kuwasaidia πUsimsahau maeda mchaga
Eti ila huyo kobaziπ€£πSijawahi kumuona Arda Guller akicheza ndio kwanza Leo , ila huyo kobazi ni pure talent dogo akishika mpira tu lazima uone impact golini
Leo hamjashangilia kama msimu ulioisha mliweka mpaka duara.Na Ballon d'Or baadaye tunaichukua
Ijayo ipi mzee π kunywa mbege nalipa mimiMechi ijayo tunawapiga kama ngoma ya mwanamalundi.