FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

Lkn viongozi wa yanga hawakufikiria ss kwa wachezaji wetu hawa afu unawaletea kocha anaongea kiarabu hahaaaaaa
 
[emoji196][emoji196][emoji196]

[emoji196][emoji196][emoji196]

[emoji196][emoji196][emoji196]

Utopolo

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Laana ya mwambusi itawatesa, kitendo alichoafanyaga saido kwa mwambusi, kitamwandama daima, mpaka atubu dhambi hiyo. Leo kapewa 90min, lakin alikuwa anademka tu.
Alikuwa ADEMKA tu....! Saidoooo.....itabidi tutafute maana Ya hili neno KUDEMKA.....! Ndugu zetu wa huko Zenji embu njoooni....KUDEMKA ndo nini .?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…