Walionesha marudio kisha hapo hapo waka tafsiri na sheria kuwa wakati Pacome anaucheza mpira hakuwa katika offside position. Max alipoungilia mchezo ndipo ilipoua offside ya Pacome kwavile Max hakuwa katika eneo la kuoteaazam walionyesha marudio boss ama nao hawajui kitu
Uwende wapi tena ๐๐๐๐๐Uongozi wa Simba utokeeee
๐๐Kukunjwa hivi si mchezo๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃView attachment 3473525
๐๐๐๐
๐๐Simba akishindwa kuifunga Yanga hii ya leo sidhani kama ataifunga tena.
Kipindi Cha kifungo nakitumia kwenye ujinga kidogo , soon narudi kwenye ID ndani yawezi ujao In Shaa Allaah.Mkuu jina la I'd yako umelirefusha Sana kwanini usingebaki na lile lile Adriz
๐๐๐Nilie kwa sababu zipi ?
Ni vizuri kuwakumbusha, si ndo ile game wamejidabua wenyewe.Msimu uliopita ni hivihivi mlisema tumefungwa ila tuna timu nzuri! ๐๐๐
๐๐๐Kipindi Cha kifungo nakitumia kwenye ujinga kidogo , soon narudi kwenye ID ndani yawezi ujao In Shaa Allaah.
Nilitaka kutest nikibadilisha jina itaSound vipi.
Hahahaaa! Akikujibu nitag.Mara ya sita bado tu mnamuona kipofu haaaa