Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Siteseki mkuu nimesema kilichotokea.Unateseka ukiwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siteseki mkuu nimesema kilichotokea.Unateseka ukiwa wapi?
Mm si mchezaji wa Singida boss.Ungeenda kumzonga wewe kolo.
Tulimpa bahasha Spiderman akaucheza mpira uliokuwa unaenda nje Kijiri akamalizia wakaenda kugawana gawio.
Kabisa Mkuu.Mwenge hauruki kijiji kila mtu atafikiwa kwa wakati wake.
Kwa nini Sowah, Tra bi Tra wamewekwa mbao ndefu? Au SBS ni tawi la yanga?Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya NBC wanashuka dimbani kuwaalika Singida Black Stars.
Ni mchezo wa kukata na shoka, huku kuna Dube kule kuna Sowah. Huku kuna Keyekeh kule Aucho. Nani kuibuka mshindi?
Mechi itakuwa live saa 10:15 jioni na updates zote utazipata hapaa
Vikosi vinavyoanza
View attachment 3239254View attachment 3239253
Tujibu kwanza kwanini mnapocheza na Tabora uwa wachezaji wengi wanakuwa na matatizo?Kwa nini Sowah, Tra bi Tra wamewekwa mbao ndefu? Au SBS ni tawi la yanga?
Hii taarifa Said Ramovich waione Tff aka kichefuchefu na waifanyie kazi
Match fixing ilianzia kwa tabora mliyocheza nayo mechi zote mbili na ikawapa point za bweleleMatch fixing...
Kwahiyo umeingiwa na wivu?Mm si mchezaji wa Singida boss.
Si tunajua mtawanunua mwisho wa msimu wawabakishe makundi.Kwahiyo umeingiwa na wivu?
Mbona hata nyie Kolos tukicheza huwa amuwazongi players wetu.
Taarifa ya 5imba Kufungwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5 ziwekwe wapi?Hii taarifa Said Ramovich waione Tff aka kichefuchefu na waifanyie kazi
Si ungeenda ukamzonga wewe kochaHili goli la dube ameachwa mwenyewe hata kuzongwa zongwa hakuna. Ameruka akaganda akapiga kichwa.
Kwani uliambiwa matatizo yao yanaletwa na simba.Tujibu kwanza kwanini mnapocheza na Tabora uwa wachezaji wengi wanakuwa na matatizo?