FT | Yanga 2-1 Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025

FT | Yanga 2-1 Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025

Tulimpa bahasha Spiderman akaucheza mpira uliokuwa unaenda nje Kijiri akamalizia wakaenda kugawana gawio.
Screenshot_20250217-080718_Facebook.jpg
 
Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya NBC wanashuka dimbani kuwaalika Singida Black Stars.

Ni mchezo wa kukata na shoka, huku kuna Dube kule kuna Sowah. Huku kuna Keyekeh kule Aucho. Nani kuibuka mshindi?

Mechi itakuwa live saa 10:15 jioni na updates zote utazipata hapaa

Vikosi vinavyoanza
View attachment 3239254View attachment 3239253
Kwa nini Sowah, Tra bi Tra wamewekwa mbao ndefu? Au SBS ni tawi la yanga?
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Tujibu kwanza kwanini mnapocheza na Tabora uwa wachezaji wengi wanakuwa na matatizo?
Kwani uliambiwa matatizo yao yanaletwa na simba.
Halafu ushike adabu yako, au tutakuita kwenye kamati kama Ali kamwe ukajieleze.
 
Back
Top Bottom