Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wydad Casablanca waliwatowa Mamelodi wapi?Leo inaonekana walikuwa wanatafuta sare tasa na wametumia viungo wengi. Kule kwao huwa wanashambulia sana na hawajawahi kufungwa tangu 2019.
Bibi una mikwaraKwahiyo ulitaka asichoke si kapambana.. shule zifunguliwe mrudi boarding naona watoto mmejaa sana jf
Nunua glucose mkuu draw inauma tuliza preshaKama
Kama utakuwa nwalimu basi darasa lako litakuwa na package kubwa Sana ya vilaza!!. Kama mfano wako ndio huu aloohh!!. Possession ni zao la mbinu zilizochaguliwa kutumika... Kama una akili walau ungejaribu kuangalia hiyo possession ya 70 Mamelod kaufanyia wapi?.
Kwahiyo Ivorycoast aliyechukua kombe akiwa na point 4 unamlinganisha na Morocco aliyefuzu na makundi na point 7+. Akili kisoda 😅😅😅
shule zifunguliweBibi una mikwara
Toa mifano iliyo hai😅... Kama draw inauma kile kijiti mlichotiwa na muarabu Jana kinafanyaje? Hebu nisimlie u khari gani Sheikh.Nunua glucose mkuu draw inauma tuliza presha
Utopolo wana chance kubwa semi final kuliko sisiUnakubali nini unakataa nini?
Yanga alijilinda sana huku akishambulia kwa kushtukiza.
Aisee ile game kama unajua mpira tizama jana na leo utasema mwenyewe nani amecheza mpira.
Nipo kwenye mfungo mkuu unatumia lugha nzito punguza hasiraToa mifano iliyo hai😅... Kama draw inauma kile kijiti mlichotiwa na muarabu Jana kinafanyaje? Hebu nisimlie u khari gani Sheikh.
Lugha nzito... Ipi... Basi sawa 😒.Nipo kwenye mfungo mkuu unatumia lugha nzito punguza hasira
Kati ya jana na leo.Kati ya nani na nani hao waliocheza mpira, yaan unao walinganisha ili nikujibu kwa usahihi.
We kweli popoma.Kama mamelodi angekuja kutafuta matokeo ugenini kwasababu ana wasiwasi wa kupoteza nyumbani, basi mashabiki utopolo wangekuwa na akili sana[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii sasa kali, woiiiihTatizo magungu amewafanya mazombie... Haujapita hata mwezi hapa... Mlikuwa mnasema yanga kacheza na Aly Ahly kibonde...
Jana na leo yess, team zipi unazilinganisha?Kati ya jana na leo.
Kwani hujui jana na leo wamecheza kina nani?
Eh!Jana na leo yess, team zipi unazilinganisha?
Zitaje ili nikujibu kwa ufasaha.
Kwani msimu ulopita mpaka Yanga anafika Final si kazitoa timu zilizomzid ubora katika viwango vya CAF??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee umtoe huyu msimu wa 6 plus anaishia Semi final, na juzi kanyakua AFL kwa kuwachabanga Al Ahly na Wydad?
Mtanii hebu njoo kwa hatua, lol
Popoma wewe.Leo Chuma tatu kwa moja
Nani ana nafasi tukitizama probability??We umedraw mi nimefungwa point unazo ?
Mnazidi kutingisha matako tu. Mwanzo mmevalia dera yanga atafungwa za kutosha, haijawa hivyo. Saa hizi mmevua dera mmebaki na bikini.ngoja waende sauzi ndo watawaona mamelodi wenyewe sasa.
HakikaYanga timu yangu, siwezi kujivunia zaidi. Hata bila ya wachezaji tegemezi watatu kikosi cha kwanza kukosekana tumefanikiwa kutoa sare dhidi ya Sundowns, sio jambo dogo kabisa.
Japo Mzize ametukosesha vibe la sikukuu mapema ila sio mbaya, ni heri nusu kuliko shari kamili.