FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Mkishinda hii mechi ya waarabu mje mniombe buku nimekaa paleeee

Yaani mnakandwa kwa Lupaso na mnasugulia Misri
 
Nikiangalia msimamo champions league nafurahi sana kuona wengine mpaka sasa washatupwa nje...
 
Kwenye stage utaskia

Cr Belouzidad hands uuuuuuup

Afu dijei anamaliza kwa "Jiiiaa"
 
Back
Top Bottom