FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

[emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172]
 
Beluzidad wanaleta fujo hap Uwanjani.
Tuliokaa karibu nao tunawaona
IMG_20240224_182537~2.jpg

Japo niko Upande wao lakini sipendi fujo zao
 
Kikosi killichoanza dhidi ya makolo hakina tofauti na kinachoanza leo
 

Attachments

  • F-LENGTW0AArpe9.jpeg
    F-LENGTW0AArpe9.jpeg
    380.5 KB · Views: 2
  • GHHHAzOWQAAFgxX.jpeg
    GHHHAzOWQAAFgxX.jpeg
    145.3 KB · Views: 2
FT.
Tutasikia.
Bleach zayeyuka Benjamin Mkapa
 
Hapa nadhani inategemea na tafsiri yako ya ubunifu.

Nimesikikiza interviews za baadhi ya mashabiki wa Yanga ambao ni Smart upstairs wengi hawajaona kupaka bleach kama ni sehemu ya ubunifu.

Sio kila kinachopewa airtime na kuzungumziwa kila mara ni product ya ubunifu.
Hata ushoga unapewa sana airtime so kwa huyu mpaka bleach anaweza ona ni ubunifu
 
Inabidi mafundi sanifu wa kuondoa blichi wakae kwa nje mambo yasipoenda sawa, wanawa unbreach mashabiki.

Lakini tunawatakia kila.la kheri
 
Back
Top Bottom