Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hii ya leo imenishtua sana na kuona hata matumaini yangu kwenye mechi na Galaxy naweza kukutana na matokeo tofautiHatimaye...
Sasa nguvu tuweke kwa Simba nayo ipite...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ya leo imenishtua sana na kuona hata matumaini yangu kwenye mechi na Galaxy naweza kukutana na matokeo tofautiHatimaye...
Sasa nguvu tuweke kwa Simba nayo ipite...
Nimecheka sana[emoji1787]Mpira hawachezi binadamu unadhani kutakuwa na matokeo gani zaidi haya matani [emoji16][emoji16]
Zama zao za kutamba zinaelekea ukingoni.Unajua Waarabu wamekuwa mafala sana
Hahaaaa yaani acha tuu leo nina rahaaaa mpaka basiiiiiHadi mnapost selfiee, kimeumanaa leo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muache, polisi ataenda mwenyewe....hatumpelekei hata chai🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usifike huko tafadhariiii.
Hongera Yanga Kwa kufuzu robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika Kwa mara ya kwanza [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
my love enjoy leo.nikupe zawadi gani?Woyooooooo woyooooooo
Yanga tuna chukua yoteeeeeUsiku wa wanayanga....
Leo Yanga tunatoa[emoji81] yote [emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
Head to headKwanini Unassma wameshafuzu wakati bado Mechi ya Mwisho Al Ahly vs Yanga na CR belauzidad na Medeama
Vipi Yanga Akifungwa na Al Ahly halafu Beloizdad akampiga Medeama?
Natumewapelekea vilivyo🤓Wazee wa kupeleka Motoo!!🔥💛💚
Hongereni sanaa wataniii.Hahaaaa yaani acha tuu leo nina rahaaaa mpaka basiiiii
😁😁😁Fact hiyo nimeandika mkuuNimecheka sana[emoji1787]
Hivi simba kinawashinda Nini kucheza angalau hata Mchezo wanaocheza Yanga hata nusu Yake tu