Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Aisee itabidi iwe hivyoMje tuwape majini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee itabidi iwe hivyoMje tuwape majini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha mbwembwee wee mtanii, utafurahishwaaaaa.Ila maisha haya [emoji23][emoji23] wengine wamebakia kuweweseka hawajajua hatma yao.
rniwe muwazi sina raha nlitaka yanga afungwe.
🤣🤣🤣🤣 dah mumeniziba mudomo nipo naliaUko wapi kwa sasa mganga njaa pengine ushaingia uvunguni ukiugulia maumivu makali sana kama mgonjwa wa bawasiri anae ukweka haja ngumu.
Ana cheza namba ngapi Ally Kamwe? HahahahaUkijua ni uchawi na ndumba zimetumika msikilize Ally Kamwe anasema tutaenda na hizi bleach Misri tukiwa tumeshavuzu...jamani Simba mmeingia kwny soka la kizungu mmeacha ndumba ona sasa haya mautopolo yatatukaranga...
Hawa mods wangese wakubwa, mechi kubwa hivi wanashindwa nini kuweka updates?Moderator ni simba wanatamani kusema CR wabovu ila wakikumbuka mkono wa nyani, hawabadilishi matokeo.
5 mlihonga banaKiwete ni aliyefungwa 4 au 5 mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada unanichekeshaa balaa.Ukijua ni uchawi na ndumba zimetumika msikilize Ally Kamwe anasema tutaenda na hizi bleach Misri tukiwa tumeshavuzu...jamani Simba mmeingia kwny soka la kizungu mmeacha ndumba ona sasa haya mautopolo yatatukaranga...
Hamumtaki tena " aliyetoroshwa" uwanja wa ndege?Pacome itabidi tuwanyang'anye Uto.
Ha ha ha haaaaa .....Wana Yanga Jf msiwe na haraka baada ya hapa Kula shiba vizuri shushia na soda baridi kisha vaa pendeza tukutane Uzi wa Kihasibu tufanye uchambuzi wa mechi ya Leo.
Cc : Shadeeya
Anacheza na mdomo tuu ameshatujulisha yaliyokua yamepikwa tayari..yani hiyo statement aliisema jana...Ana cheza namba ngapi Ally Kamwe? Hahahaha
Tulia weweeKaziKweliKweli 😂
Cc: Maghayo
Utajikuta wewe peke yako hucomment. Hakuna ambaye hafurahii huu ushindi hasa kwa mpira unaochezwa sio mashabiki wa Simba au Ihefu. Naamini hata wewe vidole vyako vinaisaliti nafsi yakoCommenters tunaojaza uzi ndio sisi